download mp3

Thursday, 21 January 2016

NAFASI ZA KAZI SCANAD TANZANIA LIMITED


NAFASI ZA KAZI NJOMBE WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY JOB VACANCIES


NJOMBE URBAN WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY
JOB VACANCIES
NJUWASA is an expanding autonomous entity which is responsible for supplying clean water and sanitation services for Njombe Township.

GARI Aina ya BMW Anayomiliki Masanja Mkandamizaji Yawa Gumzo...Mwenyewe Awataka TRA Wakaikague Kama Hajalipia Ushuru

Mchekeshaji wa Orijino Komedi na mjasiriamali, Masanja Mkandamizaji amesema kila anachomiliki amekinunua kwa pesa yake halali huku akishangaa kwanini watu wameshtuka baada ya kuona anamiliki BMW yenye plate namba ya jina lake.
Akizungumza  katika kipindi cha 360 cha Clouds TV Ijumaa hii, Masanja alisema anamiliki magari mengi huku akidai BMW X6 ameinunua kama mtu mwingine anavyonunua baiskeli. "Mimi nina magari mengi sana na yote nayachukulia kama chombo cha usafiri cha kunitoa point moja kwenda nyingine,” alisema. “Sasa nashangaa watu wanaongea sana kuhusu mimi kwani gari kitu gani! Hiyo BMW X6 nimenunua kama watu wengine wanavyonunua baiskeli," alijinadi.
Aliongeza, "Na hata hao TRA kama wananisikia waje hapa Clouds nimekuja nayo ipo hapo chini ili waangalie kama sijailipia." Masanja alisema anafanya biashara za aina mbalimbali hivyo kununua gari la thamani siku kitu cha ajabu kwakuwa anaweza kununua kupitia biashara yake moja tu.

Idriss Sultan Amtusi Diamond, Ajitapa Mtaani Kuwa yeye ni Kidume Aliyeweza Kumpa Mimba Wema

Hii dharau! Siku chache baada ya staa wa Bongo, Wema Sepetu ‘Madam’ kudaiwa kushika ujauzito ambao mhusika bado ni fumbo

Shule Binafasi Zajitokeza na Kumpongeza Waziri wa Elimu Kwa Kufuta Mfumo wa GPA na Kurudisha wa Division

Shule Binafasi Zajitokeza na Kumpongeza Waziri wa Elimu Kwa Kufuta Mfumo wa GPA na Kurudisha wa Division

Shirikisho la wamiliki wa shule na vyuo visivyo vya serikali  TAMONGSO