download mp3

Friday, 27 June 2014

Picha Za Nyumba Ya Ney Wa Mitego, Amehamia 13 June 2014,Thamani Na Anazongapi Mpaka Sasa Viko Hapa

Ney Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii waliopata mafanikio makubwa kwenye muziki na kifedha ndani ya mwaka 2013 na 2014. Muziki wake umempa show nyingi na dili za matangazo ambazo hulipa vizuri wasanii.
Kupitia Exclusive interview na sammisago, Ney wa Mitego anasema amehamia kwenye nyumba yake mpya iliyopo maeneo ya Kimara Korogwe na Inathamani ya Pesa za Tanzania Milioni Mia na Themanini.
Ney Wa Mitego anasema alianza kujenga nyumba hii toka mwaka Jana na ni miongoni mwa nyumba zake tatu, mbili bado hazijaisha.

Picha: Utampenda Rihanna Ndani Ya Mavazi Ya Kiarabu Kwenye Jarida La Harper’s Bazaar

Rihanna ametoka kivingine hivi sasa kwenye jarida ambao linampa nafasi ya kuonesha uzuri wake akiwa ndani ya vazi lililofunika mwili wake kuanzia kichwani hadi kidole gumba.
Rihanna nne

ANGALIA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA KALA JEREMIAH ft. MO MUSIC & NEY WA MITEGO inayokwenda kwa jina la "SIMU YA MWISHO"