Mapenzi Moto Moto: Diamond Kula Sikukuu ya Mwaka Mpya Rwanda na Mpenzi Wake Mpya
Mambo yazidi Kuwa Mazuri Upande wa Diamond na Zari kwani Mapenzi yao ni Moto Moto
, Kwa sasa wanafuatana kama Kumbi kumbi kila Diamond anapofanya Show za
nje lazima Mtoto Zari Awe Pembeni , Baada ya Kuwasha moto Juzi Huko Rwanda
akiwa na Zari Sasa ni zamu ya Rwanda , Diamond Ameweka Picha Akiwa na
Zari na Kuandika Haya hapa Chini:
"Jus touched down Rwanda...Damn! i can not wait to spend my New year's eve here!"
No comments:
Post a Comment