Star wa filamu nchini aliyejaaliwa mvuto
wa kipekee, Lulu Elizabeth Michael anadaiwa
kutodumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka kum-control mwanaume anayekuwa naye.
kutodumu na mwanaume sababu ya kuendekeza ubabe na kutaka kum-control mwanaume anayekuwa naye.
Inadaiwa Lulu hataki mchezo, mwanaume
akishakuwa nae basi lazima ahakikishe hafurukuti. Taarifa zinadai kuwa
miezi ya hivi karibuni alikuwa na jamaa mmoja mdogo kimapenzi
akammwaga na baada ya muda akawa anatoka na tajiri mmoja wa madin toka
Arusha lakini tajiri huyo alinyoosha mikono juu baada ya Lulu kama
kawaida kuruhusu majeshi yake yam-control jamaa huyo.
Chanzo kimoja kikizungumza kwa sharti la kutotajwa jina kimesema:
No comments:
Post a Comment