ANGALIA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA KALA JEREMIAH ft. MO MUSIC & NEY WA MITEGO inayokwenda kwa jina la "SIMU YA MWISHO"
Hizi ni picha za utengenezaji wa video
mpya ya Kala Jeremiah akiwa nandugu zake kama Nay wa Mitego pamoja na Mo
Music, wimbo unaitwa SIMU YA MWISHO ikiwa imetengenezwa na Prod Mona
Gangsta na video yake imesimamiwa na Pablo kutoka D360
No comments:
Post a Comment