Ney Wa Mitego ni miongoni mwa wasanii waliopata mafanikio makubwa
kwenye muziki na kifedha ndani ya mwaka 2013 na 2014. Muziki wake umempa
show nyingi na dili za matangazo ambazo hulipa vizuri wasanii.
Kupitia Exclusive interview na sammisago, Ney wa Mitego anasema
amehamia kwenye nyumba yake mpya iliyopo maeneo ya Kimara Korogwe na
Inathamani ya Pesa za Tanzania Milioni Mia na Themanini.
Ney Wa Mitego anasema alianza kujenga nyumba hii toka mwaka Jana na ni miongoni mwa nyumba zake tatu, mbili bado hazijaisha.
Kupata Story, Nyimbo Na Inteviews Za WhatsKiking TV Pamoja na sammisago.com, Bonyeza Hizi Tuwe Pamoja>> Instagram, Twitter Na Facebook.
Kutazama Exclusive Inteview Ya Diamond Platnumz Baada Ya Tuzo Za Mtv Bonyeza Hapa.

No comments:
Post a Comment