download mp3

Friday, 27 June 2014

Picha: Utampenda Rihanna Ndani Ya Mavazi Ya Kiarabu Kwenye Jarida La Harper’s Bazaar

Rihanna ametoka kivingine hivi sasa kwenye jarida ambao linampa nafasi ya kuonesha uzuri wake akiwa ndani ya vazi lililofunika mwili wake kuanzia kichwani hadi kidole gumba.
Rihanna nne
Ukimuangalia Rihanna utaamini kabisa kuwa mwanamke kuonesha uzuri wake sio lazima avae nusu mtupu.
Hiki kimini sidhani kama Waarabu watakielewa
Hiki kimini sidhani kama Waarabu watakielewa
Rihanna tanoRihanna threeRihanna twoRihanna-Harpers-Bazaar-Arabia-3

No comments:

Post a Comment