Diamond Platnumz akiwa katika pozi pamoja na baunsa wake
Habari picha toka tamasha la uzalendo na
Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Wasanii Diamond Platnumz, Ommy Dimpoz, Mwana FA, Weusi, Hadija Kopa, TMK Wanaume na Yamoto Band na wengine wengi watatumbuiza

Mzee Chilo akiwa na Diamond


Msanii wa mziki alietokea EBSS,

Mwanamziki wa Twanga Pepeta, Kalala Junior (katikati).


Umati wa watu waliojitokeza katika uzinduzi wa Video ya Wimbo wa Muungano katikauwanja wa Jamhuri, Dodoma. by lwemmy da prince
No comments:
Post a Comment