Kitengo cha polisi cha Stockton, California kimezua mjadala mpya baada
ya kupost kwenye Facebook picha za mhalifu ili kipate msaada wa taarifa
zaidi za raia lakini kilichotokea na kuwa picha hiyo imewavutia zaidi
wanawake walibaki kuzungumzia uzuri wa mwanaume huyo.
Picha ya mhalifu huyo aliyetajwa kwa jina la Jeremy Meeks (30)
anayekabiliwa na kiesi ya kumiliki bunduki kinyume cha sheria imepata
likes zaidi ya 66,000 na comments zaidi ya 20,000 kutokana na uzuri wa
mhalifu huyo.
Jeremy anatakiwa kutoa kiasi cha $900,000 ili aachiwe huru. Lakini
wanawake wengi waliocomment kwenye picha hiyo wanazungumzia kuhusu
kuchangia pesa ili wamtolee dhamana
No comments:
Post a Comment