download mp3

Sunday, 6 July 2014

CHECK JINSI AMBAVYO RAPPER JAY-Z NA FAMILIA YAKE WAKILA BATA PANDE ZA MIAMI




Rapper Jay Z pamoja na mkewe Beyonce wanaoneka wakiendelea kufurahia maisha katika jiji la Miami wakiendelea kula maisha huku wakioneka kupanda  siku ya ijumaa baada ya kumaliza tamasha lao lilofanyika siku ya Jumatano

Tizama hapa picha zingine






No comments:

Post a Comment