
Msanii Diamond Platinumz leo yupo Los Angeles nchini Marekani sherehe za ugawaji wa tuzo za B.E.T akiwa yupo kwenye category ya Best African Act. Hizi ni picha 6 alizopiga akiwa eneola tukio huko Marekani ambapo naye atakuwepo akiwa kama msanii pekee kutoka Tanzania anayewakilisha vizuri bendara ya nchi yetu








No comments:
Post a Comment